Ufafanuzi wa eleza katika Kiswahili

eleza

kitenzi elekezi

  • 1

    toa maelezo kuhusu jambo fulani.

    taarifu, amba, fundua, aridhia, funua, sema

Matamshi

eleza

/ɛlɛza/