Ufafanuzi wa elezea katika Kiswahili

elezea

kitenzi elekezi

  • 1

    ambia mtu habari fulani.

    simulia

Matamshi

elezea

/ɛlɛzɛja/