Ufafanuzi wa elimulahaja katika Kiswahili

elimulahaja

nomino

  • 1

    tawi la isimu linalohusiana na uchunguzi na uchanganuzi wa lahaja za lugha mahususi.

Matamshi

elimulahaja

/ɛlimulahaʄa/