Ufafanuzi wa elimumagonjwa katika Kiswahili

elimumagonjwa

nomino

  • 1

    taaluma inayochunguza magonjwa mbalimbali na athari zake.

Matamshi

elimumagonjwa

/ɛlimumagɔnʄwa/