Ufafanuzi wa elimumitindo katika Kiswahili

elimumitindo

nominoPlural elimumitindo

  • 1

    taaluma ya ubunifu kuhusu mitindo ya waandishi wa tanzu mbalimbali.

Matamshi

elimumitindo

/ɛlimumitindɔ/