Ufafanuzi wa elimuuzazi katika Kiswahili

elimuuzazi

nominoPlural elimuuzazi

  • 1

    taaluma ya afya ya uzazi na tiba ya maradhi yanayoambatana na uzazi.

    jinokolojia

Matamshi

elimuuzazi

/ɛlimuuzazi/