Ufafanuzi wa endelea katika Kiswahili

endelea

kitenzi sielekezi~za

 • 1

  songa mbele.

 • 2

  zidi kufanya jambo au kitu.

  ‘Anaendelea kufanya kazi’

 • 3

  kutoka katika hali duni kwenda katika hali bora.

  ‘Nchi zinazoendelea’

 • 4

  dumu

Matamshi

endelea

/ɛndɛlɛja/