Ufafanuzi wa eneo katika Kiswahili

eneo

nominoPlural meneo

  • 1

    sehemu ya ardhi.

    ‘Eneo la shamba’

  • 2

    uwanja fulani wa maarifa.

    ‘Eneo la sayansi’

Matamshi

eneo

/ɛnɛɔ/