Ufafanuzi wa engua katika Kiswahili

engua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa povu juu ya maji au utando juu ya maziwa.

Matamshi

engua

/ɛnguwa/