Ufafanuzi wa epa katika Kiswahili

epa, kwepa, hepa

kitenzi elekezi

  • 1

    epuka pigo au jambo la hatari.

    epuka

Matamshi

epa

/ɛpa/