Ufafanuzi msingi wa epua katika Kiswahili

: epua1epua2

epua1 , ipua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa chombo k.v. chungu au sufuria kutoka kwenye jiko au mafiga.

    ‘Epua chungu’
    tegua, deua

Matamshi

epua

/ɛpuwa/

Ufafanuzi msingi wa epua katika Kiswahili

: epua1epua2

epua2

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa au toa hatarini.

Matamshi

epua

/ɛpuwa/