Ufafanuzi wa erevuka katika Kiswahili

erevuka

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    kuwa na akili au hila; kuwa mwerevu; toka katika ujinga; kuwa mfahamikivu; kuwa mjuzi.

    janjaruka, karamka, limka

Matamshi

erevuka

/ɛrɛvuka/