Ufafanuzi wa erieli katika Kiswahili

erieli, erio

nominoPlural erieli

  • 1

    kifaa cha waya kinachotumika kupokea mawimbi ya redio au televisheni.

    antena

Asili

Kng

Matamshi

erieli

/ɛriɛli/