Ufafanuzi wa Esperanto katika Kiswahili

Esperanto, Espiranto

nominoPlural Esperanto

  • 1

    lugha iliyobuniwa mwaka 1887 kutokana na mchanganyiko wa maneno ya lugha kadhaa za Ulaya.

Asili

Kng

Matamshi

Esperanto

/ɛspɛrantɔ/