Ufafanuzi wa ethnografia katika Kiswahili

ethnografia

nominoPlural ethnografia

  • 1

    tawi la anthropolojia linalohusika na uchambuzi wa kisayansi wa jamii za binadamu na tofauti zao.

Asili

Kng

Matamshi

ethnografia

/ɛθnɔgrafija/