Ufafanuzi wa ezi katika Kiswahili

ezi

nominoPlural ezi

  • 1

    uwezo wa kutoshindwa na lolote; nguvu kuu.

    ‘Mwenyezi Mungu’

Asili

Kar

Matamshi

ezi

/ɛzi/