Ufafanuzi wa fa katika Kiswahili

fa

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

 • 1

  tokwa na uhai; kata roho.

  fariki

 • 2

  ishiwa na nguvu.

 • 3

  kuwa katika hali ya kutoendelea kutumika.

 • 4

  penda mtu au kitu kupita kiasi.

Matamshi

fa

/fa/