Ufafanuzi wa fadhaika katika Kiswahili

fadhaika

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na wasiwasi.

    papatika, bahashika

Asili

Kar

Matamshi

fadhaika

/faĆ°aIka/