Ufafanuzi wa fadhila katika Kiswahili

fadhila

nominoPlural fadhila

  • 1

    ‘Siku za fadhila siku anazopewa mtu ili alipe deni lake au akamilishe bima’

  • 2

    ‘Hana fadhila’
    shukurani

Asili

Kar

Matamshi

fadhila

/faðila/