Ufafanuzi wa fafaruka katika Kiswahili

fafaruka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    anguka na kutupatupa miguu kama mwenye kifafa.

  • 2

    sema ovyoovyo.

Matamshi

fafaruka

/fafaruka/