Ufafanuzi msingi wa fahari katika Kiswahili

: fahari1fahari2

fahari1

nominoPlural fahari

 • 1

  jambo au kitu cha sifa cha kujivunia kwa watu.

  madaha, makuu, madaha, makuu

 • 2

  ukuu, utukufu

Asili

Kar

Matamshi

fahari

/fahari/

Ufafanuzi msingi wa fahari katika Kiswahili

: fahari1fahari2

fahari2

kivumishi

 • 1

  -enye sifa; -a kupendeza.

Matamshi

fahari

/fahari/