Ufafanuzi wa fahiri katika Kiswahili

fahiri

kitenzi sielekezi

  • 1

    ona fahari; tazama kwa kupenda.

Asili

Kar

Matamshi

fahiri

/fahiri/