Ufafanuzi wa faidi katika Kiswahili

faidi

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  pata faida kutokana na jambo fulani; pata neema au mapato.

  tikita, kolwa, tamwa, nufaika

 • 2

  furahikia; ona raha.

 • 3

  jipendeza kwa starehe.

Asili

Kar

Matamshi

faidi

/faIdi/