Ufafanuzi msingi wa faili katika Kiswahili

: faili1faili2

faili1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  panga barua, karatasi, nyaraka ndani ya jalada kwa kufuata utaratibu fulani, agh. kufuata tarehe ya maandishi.

 • 2

  weka taarifa kwa kumbukumbu katika kompyuta.

Asili

Kng

Matamshi

faili

/faIli/

Ufafanuzi msingi wa faili katika Kiswahili

: faili1faili2

faili2

nominoPlural mafaili

 • 1

  jalada la kuwekea barua, nyaraka au karatasi kwa kufuata utaratibu fulani.

  jalada

 • 2

  taarifa ya kumbukumbu iliyohifadhiwa kwenye kompyuta.

Asili

Kng

Matamshi

faili

/faIli/