Ufafanuzi msingi wa fajaa katika Kiswahili

: fajaa1fajaa2

fajaa1

nominoPlural fajaa

  • 1

    mauti ya ghafla.

Asili

Kar

Matamshi

fajaa

/faʄa:/

Ufafanuzi msingi wa fajaa katika Kiswahili

: fajaa1fajaa2

fajaa2

kielezi

  • 1

    kwa ghafla.

Matamshi

fajaa

/faʄa:/