Ufafanuzi wa fakamia katika Kiswahili

fakamia

kitenzi elekezi

  • 1

    bugia kwa haraka; kula kwa harakaharaka.

Matamshi

fakamia

/fakamija/