Ufafanuzi wa falahi katika Kiswahili

falahi

nominoPlural mafalahi

  • 1

    mfanyakazi ambaye hamiliki msingi wowote wa uchumi isipokuwa nguvu zake tu.

  • 2

    mkulima mdogo wa kujikimu tu.

Asili

Kar

Matamshi

falahi

/falahi/