Ufafanuzi wa falka katika Kiswahili

falka

nominoPlural falka

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  mahali panapowekwa shehena katika jahazi, merikebu, n.k..

 • 2

  Kibaharia
  kifuniko cha mlango wa kuingilia sehemu ya kuhifadhia shehena katika meli.

 • 3

  Kibaharia
  vipande vya kitambaa vinavyoungwa kutengenezea tanga.

Matamshi

falka

/falka/