Ufafanuzi wa falsafa katika Kiswahili

falsafa

nominoPlural falsafa

  • 1

    elimu ya asili, maana na sababu za mambo au vitu.

  • 2

    busara, hekima, mtazamo

Asili

Kng

Matamshi

falsafa

/falsafa/