Ufafanuzi wa famasia katika Kiswahili

famasia

nomino

  • 1

    elimu inayohusu dawa na tiba ya maradhi mbalimbali.

Asili

Kng

Matamshi

famasia

/famasija/