Ufafanuzi wa fananisha katika Kiswahili

fananisha

kitenzi elekezi

  • 1

    onyesha hali ya kufanana kwa mtu au kitu kimoja na kingine.

Matamshi

fananisha

/fananiāˆ«a/