Ufafanuzi wa faneli katika Kiswahili

faneli

nominoPlural faneli

  • 1

    kifaa cha kumiminia mafuta au maziwa ndani ya chombo.

    mlizamu

Asili

Kng

Matamshi

faneli

/fanɛli/