Ufafanuzi wa fanicha katika Kiswahili

fanicha

nominoPlural fanicha

  • 1

    vyombo vya nyumbani k.v. meza, kiti, kabati au kitanda.

    samani

Asili

Kng

Matamshi

fanicha

/fanit∫a/