Ufafanuzi wa Fanya/Piga hesabu za kichwa katika Kiswahili

Fanya/Piga hesabu za kichwa

msemo

  • 1

    maswali ya hesabu ya kuchemsha akili yanayojibiwa kwa mdomo.