Ufafanuzi wa fanyana katika Kiswahili

fanyana

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    ingiliana kimwili baina ya mke na mume.

    kazana, jamiiana

Matamshi

fanyana

/faɲana/