Ufafanuzi wa fanyia katika Kiswahili

fanyia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    fanya kwa niaba au kwa ajili ya mwingine.

  • 2

    fanya jambo mahali fulani.

Matamshi

fanyia

/faɲija/