Ufafanuzi msingi wa fara katika Kiswahili

: fara1fara2

fara1

nominoPlural fara, Plural mafara

  • 1

    ukingo wa juu wa chombo cha mjazo.

  • 2

    mjazo wa kitu hadi juu kabisa.

Matamshi

fara

/fara/

Ufafanuzi msingi wa fara katika Kiswahili

: fara1fara2

fara2

nominoPlural fara, Plural mafara

Matamshi

fara

/fara/