Ufafanuzi wa faradhi katika Kiswahili

faradhi

nominoPlural faradhi

  • 1

    jambo au kitu cha lazima kufanywa au kisichoweza kukosekana.

    ‘Swala za faradhi’
    wajibu, jukumu, lazima, sharti

Asili

Kar

Matamshi

faradhi

/faraði/