Ufafanuzi wa faragha katika Kiswahili

faragha

nominoPlural faragha

 • 1

  mahali pa siri au pasipo watu.

  ‘Kuingia faragha’
  ‘Neno la faragha’
  siri, upweke, mafichoni, chemba, choza, pembeni, kando

 • 2

  ‘Kuwa na faragha’
  wakati, nafasi, wasaa, hatua

Asili

Kar

Matamshi

faragha

/faraɚa/