Ufafanuzi wa faranga katika Kiswahili

faranga

nominoPlural faranga

  • 1

    fedha zinazotumika katika nchi k.v. Ufaransa na katika nchi zilizokuwa zikitawaliwa na Ubelgiji na Ufaransa.

  • 2

    fedha, pesa, hela

Asili

Kfa

Matamshi

faranga

/faranga/