Ufafanuzi msingi wa farasi katika Kiswahili

: farasi1farasi2

farasi1

nominoPlural farasi

 • 1

  mnyama wa kufugwa jamii ya punda lakini mkubwa zaidi, mwenye singa ndefu shingoni na mkiani na hutumika kubeba watu, mizigo na kuvuta gari au kwenye michezo ya kukimbia.

Asili

Kar

Matamshi

farasi

/farasi/

Ufafanuzi msingi wa farasi katika Kiswahili

: farasi1farasi2

farasi2

nominoPlural farasi

 • 1

  kiguzo kinachotegemeza paa.

 • 2

  kiegemezo cha gogo kinachotumika katika upasuaji wa mbao kwa msumeno.

 • 3

  fremu ya baiskeli.

Matamshi

farasi

/farasi/