Ufafanuzi wa faridhi katika Kiswahili

faridhi

kitenzi sielekezi

  • 1

    paswa kufanya jambo.

    lazimika, shurutika

Asili

Kar

Matamshi

faridhi

/fariĆ°i/