Ufafanuzi wa fariki katika Kiswahili

fariki

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    tokwa na uhai; kata roho; kufa.

    fa

  • 2

    kuwa mbali na; tengwa, achwa.

Asili

Kar

Matamshi

fariki

/fariki/