Ufafanuzi wa farikumu katika Kiswahili

farikumu

nomino

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kipande cha mti ambacho husimamishiwa mlingoti.

    kibango, fundo

Asili

Kng

Matamshi

farikumu

/farikumu/