Ufafanuzi wa farumu katika Kiswahili

farumu

nomino

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    mawe au vitu vizito vinavyowekwa katika chombo kisiwe chepesi sana.

    shehena, uzito

Matamshi

farumu

/farumu/