Ufafanuzi wa fashisti katika Kiswahili

fashisti

nominoPlural fashisti

  • 1

    mtu mwenye fikira au anayefuata mfumo wa kisiasa wa utawala wa mabavu.

Asili

Kng

Matamshi

fashisti

/fa∫isti/