Ufafanuzi wa fasihi simulizi katika Kiswahili

fasihi simulizi

  • 1

    kazi ya fasihi k.v. hadithi, ngano na vitendawili iliyohifadhiwa na kurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia ya mdomo.

Ufafanuzi wa Fasihi simulizi katika Kiswahili

Fasihi simulizi

  • 1

    fasihi inayotolewa na kupokezanwa kwa kusimuliwa.