Ufafanuzi wa faslu katika Kiswahili

faslu

nominoPlural faslu

  • 1

    sehemu ya kitabu inayozungumzia jambo fulani.

    sura, mlango

Asili

Kar

Matamshi

faslu

/faslu/