Ufafanuzi wa fataki katika Kiswahili

fataki

nomino

  • 1

    kipande kidogo cha shaba kinachotiwa baruti na kilichomo katika risasi.

  • 2

    karatasi zilizotengenezwa na kutiwa baruti ndani, hutumika sana katika sherehe za sikukuu.

Asili

Kar

Matamshi

fataki

/fataki/