Ufafanuzi wa fedhaluka katika Kiswahili

fedhaluka

nominoPlural fedhaluka

  • 1

    namna ya shanga nyekundu.

  • 2

    namna ya jiwe jekundu la bahari.

Asili

Kar

Matamshi

fedhaluka

/fɛðaluka/